Janga la mafuriko Ziwa Victoria: Mbona Serikali iko kimya?

Sasa serikali ifanye nini. Mfano mzuri beach moja mwanza ilipewa zuio la kujengwa kando kando mwa ziwa wakatumia nguvu na connection mpaka ikajengwa muda huu wanalia mafuriko.

Hivi, unawaza kwa ubongo uliojaaliwa na Mungu au "kiungo kingine", Hivi, umasoma walau kufika STD VII kweli?

Yani umeshindwa kujua kabisa kuwa mifano uliyotoa bado udhaifu ni kwa serikali?

Ngoja tutumie maswali yanayoendana na kiwango chako cha kufikiri.

Una maana wakitokea watu wameamua kuvamia ikulu leo, serikali ikawaonya wasisikie, wataachwa? Kwahiyo,wakitokea watu wakaamua kujenga katikati ya barabara kuanzia Dar mpaka makao makuu Dodoma, waonywe wasisikie wataachwa?

Hivi, matokeo hasi ya yoote hayo yatakayojitokeza kwa ukaidi huo serikali ije iseme mlionywa mkakaidi serikali ifanye nini. Hivi ndivyo unavyowaza?

Tahadhari

Sitetei ukaidi wa raia. Ila najaribu kukuonesha udhaifu wa hoja yako.
 
Kwa kiasi kikubwa, wananchi ndio walioyafuata Maji ingawa haya yote yanasababishwa na Siasa za kishenzi. Ukiwa Kamanga Ferry utaona kwa uwazi kabisa level ya maji yalipokuwa kupitia alama za maji kwenye mawe. Viongozi wetu wamekuwa wakiogopa kuwachukulia hatua stahiki wananchi wa maeneo hatarishi kwa kigezo cha kukosa kura kipindi cha uchaguzi.

Kuna siku nilikuwa naongea na mzee wangu, nikamuomba anipe uelekeo wa level ya maji, akaniambia hiyo ghati ya Kamanga yote iko kwenye maji, hapo ilipokuwa Rock Beach pote ni maji.
 
Tumeongea na misri,wazidishe kilimo cha umwagiliaji huko ili kupunguza kina cha maji huku
 
Poor urban planning. And the worst may come when the Mediterranean Sea will over flow due to ice melting at the Antarctic and the white Nile reverse its course back to lake Victoria!
 
Wamekwenda kujenga makusudi ziwani. Wanasema maji yanakimbia watu. Serikali ifanye mambo mengine.
 
Kwani serikali ndio imeleta hayo mafuriko
Serikali ndio hupima viwanja na yenye wataalamu wajuzi wa mipango miji. Ishukuru hakuna utawala wa kisheria na mahakama huru, ingesha buruzwa mahakamani siku nyingi.
 
Serkali ndio iliwatuma wakajenge karibu na vyanzo vya maji tena ziwa

Sasa hili ni swali ama maelezo. Haijulikani kama unatutaarifu kuwa ilikuwa hivyo usemavyo ama ndiyo unaitetea serikali.


Kama unamaanisha kuitetea serikali na kuwalaumu raia, basi wewe umbo na fikra zako ni kama sehemu hizi za chini ya kitovu. Yani hujui kama serikali ndiyo hupima maeneo? Hujui kwamba serikali ndiyo husimamia sheria? Kama hao watu walikaidi, je, lini walikamatwa na kufunguliwa mashitaka? Mbona baadhi ya mambo kama ya kisiasa fasta tu watu washachezea na kuswekwa rumande?

Hii wala sihitaji majibu. Baki nayo tu hayo maswali
 
Hayo mafuriko ni fursa tayari kwa wanasiasa,wakija kuomba kura watasema muwapigie kura ili wayaondoe maji/mafuriko hayo na msipowapigia kura basi mwafaaaaaaaaaaa.
 
Poor urban planning. And the worst may come when the Mediterranean Sea will over flow due to ice melting at the Antarctic and the white Nile reverse its course back to lake Victoria!

Nawadeiz wota ken klaimb ze mauntein?
 
Kwenye Serikali Yangu Maneno Matamu Sitayasema Mimi Nitasema Makavu Makavu!!!
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Bunye imebandikwa hapo usoni kwako.

Cheki unavyotokwa na mapovu kama mtia nia aliyekatwa pyeeeep
Mtanzania gani kichwa ngumu mbele ya serikali wewe. Wewe una jinsi mbili nini? Uliona wapi watanzania wakaizidi serikali, hivi umefika la saba wewe?

Ndiyo maana nimekupa mifano ya kiwango chako, bunye wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…