Janga la Obesity limepiga hodi Tanzania .

Jamani!!! hii hali ya Obesity hapa Tanzania serekali yetu wanaliona na wanaelewa athari zake na harama zake?huhitaji

Rocket Science kuliona hilo.humjuwi nani mja mzito kati ya wananchi si wanaume si wanawake na wala sio watoto hali inatishia.

hapo kwenye red ndo huwa pananifanya nikose hamu ya kula kabisa.
 


sasa uwakute wapo kwenye matembezi ya wikiendi utachoka. baba, mama na watoto wote vitambi hivyo wanahemea juu juu tu. aaagh tubadilike jamani...
 
Mnaionea tu Serikali. Wewe mtu kuwa mnene kupita kiasi au kuwa na mitambi hujui madhara yake. Tena cha kushangaza hata madaktari wengine wana matatizo hayo

vitu vingine havihitaaji hata serikali iingile kati jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…