Janga la pombe kali na anguko la kizazi: Kilio cha wazazi na hatari kwa Taifa

Kisingizio cha vijana walevi ndio hiki, kwamba kufa tutakufa tu. Kuna tofauti kufa ukiwa na miaka 80 na kufa ukiwa kijana wa miaka 35.
Acha vijana wale gambe, kama figo mbovu mbovu tu, unataka figo nzima ufanye nayo nini mbinguni??
 
 

Attachments

  • Screenshot_20250216-182754_1.jpg
    363.2 KB · Views: 1
Nilisoma Ukraine miaka ya 90 nikiwa kule pombe yangu ilikuwa ni vodka niliporudi bongo nikaanza kuchanganya konyagi na balimi.

Mwaka 2021 August nikapata stroke, Hivi sasa nafanya sana mazoezi haswa ya kutembea hatua 10,000 kila siku.
Mkuu watu wanapata stroke na wala hawanywi pombe..

Acha wanywe kwa kiasi tu ila sio kukataza kabisa
 
Usalama wa taifa and pombe in one sentence

Fvvk off man

We should be responsible for our own actions
Think like this clever man.

A nation is people. Weak people means weak nation. Where are we right now?
 
Mkuu,
Binafsi pombe haijawai kuwa tatizo tatizo ni mtu mwenyewe.

Mis use of drugs..unakuta mtu anashindana na pombe huwezi kutoboa kunywa kwa kujua alcohol persistence yako mfano unaweza kua unakunywa konyagi mdogo moja kila weekend au bia tatu au mbili kila siku hapo huwezi kuharibikiwa..

Unakula ugoro,una vuta bange, unatumia POMBEKALI kupita kiasi kila kitu Kuna faida na hasara ZAKE mfano hata kula Sana chakula kinaweza kukuletea shidaa
 
Acha mapumbavu yaushie kwenye Pombe ndio njia ya asili ya kupunguza mapumbavu
 
Unakunywa bia Kila siku ndio mmekuwa na maumbo kama wake zenu.


Unakuta mwanaume ana kitambo na mapaja manene kama kajala. Mwingine ana matako yamejaa stake kisa kunywa ngano za pombe!


Mwanaume wa kweli inabidi uwe mascular unakunywa Maji na Vinywaji asali huku ukifanya mazoezi kuongeza Hormones za kiume.


Sio mwanaume unakuwa na kitambi kama mke wake. Ukiwapa mgongo wanaume wenzako wanadhani ni mama la kichaga linapita.


Pombe ni zaidi ya kulewa inaharibu sura zenu, maumbo na morphology ya kiume. If you want to say like a man acha kula pombe
 
min -me njoo hapa umsikie huyu "MUYAYE"
 
Ccm ni janga la taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…