Angyelile99
Member
- Oct 9, 2023
- 89
- 164
we need to know that. haitakiwi kutukana ukiwa kama mtu unae reply alicho andika mtu kwa kauri ngumu. wala wewe ulie andika hicho kitu hautakiwi kurudishia comment ya mtu kwa maneno makali. emu tujaribu kutumia majukwaa haya yaliyopo JamiiForums kuonesha utashi wetu wa kufikiria juu ya namna gani tunaweza kua sehemu ya wachangiaji wa kutatua matatizo ya kijamii.
Mimi binafsi naweza sema tunahaja ya kutoka nafasi kwa watu wengine wenye uwezo wa kisiasa kutoka kwa vyama vingine tuone pia ni kwa namna gani wao wanaweza solve tatizo hili la ajira kwa vijana. ukweli ni kwamba uchache wa ajira haupogi kabisa nchini kwetu isipo kua, mifumo ya matumizi ya rasilimali fedha kwa watumishi wa serikali na serikali kwa ujumla kwa baadhi ya sekta ndio chanzo cha ukosefu wa ajira kwa vijana wengi nchini.
Chukulia tu nchi hii ya Tanzania moja ya nchi ndogo sana duniani, lakini cha ajabu ni kwamba ofisi ya raisi OR-TAMISEMI inabajeti ya takribani tirioni 8 na points kwa mwaka wakati huo inakuja hivyo, ni matokeo mabovu ya mifumo ya kiutawala na malipo kwa watumishi.
Emagine mtu mmoja analipwa laki 2 kwa kila kikao atakacho kaa. wakati huo huo ameakikishiwa nyumba bure, gari bule, na mshahara wa mil 10 kila mwezi. kila atakae enda kushika nchi anaanza kwanza na sekta ya ulinzi kwa kuwapandishia mishahara maafisa( sasa kama wao wapo pale kwa uzarendo hili jambo ni la nini) huku ni kuto kujiamini kwa viongozi na ni rushwa moja wapo.
Mkuu wa mkoa mil 6 kila mwezi na anapewa kila kitu. mkurugenzi mkoa mil 4 na anapewa kila kitu. tukiachana na haya ya malipo. tunaraisi. makamu: waziri mkuu: naibu wake: mawaziri: wakuu watendaji wa ofisi zao: tuje ngazi za mikoa.
Mkuu wa mkoa: Mkurugenzi mkoa: mkurugenzi wilaya: mkuu wa wilaya Mbeya wa jiji: wabunge Hawa wote ni waratibu wa mkoa. na wanalipwa vizuri mnoo, sasa hii mifumo tuliyo iweka ndio inafanya kiwango kikubwa cha pesa kuelekea huku na tanashindwa Kua na bajeti za uhakika kwenye maneno mengine kama katika sekta ya elimu na afya.