Elections 2010 Janja ya kumwokoa JK - ucheleweshaji matokeo

Chadema haya mambo ya vurugu za Ubunge tunasacrifice Urais. Minds zinakuwa diverted watu wanaiba kwenye urais. Jamani huu ni wakati wa kuondoa ukoloni nchini.
 

Thank you Nomasana. What you are saying is quite true and vote rigging has been going on in Tanzania for quite some time now. In fact it has been happening in almost every election since the beginning of multiparty elections. The problem we have here is that our opposition leaders don't seem to appreciate the gravity of the problem and address it fully. With the current constitution which gives toom much power to the president to determine the results of the election I don't see vote rigging going away anytime soon.
 
Chadema haya mambo ya vurugu za Ubunge tunasacrifice Urais. Minds zinakuwa diverted watu wanaiba kwenye urais. Jamani huu ni wakati wa kuondoa ukoloni nchini.

Ndicho hasa kinachofanyika kwa sasa, Inatakiwa uongozi wa CHADEMA utoe tamko na kufanya critical follow up on this.
 
Kuna tetesi ya kuwa matokeo yanayopelekwa NEC na wasimamizi siyo yale ambayo yalipatikana kutoka kwenye kata na mfano ni Morogoro Mjini fomu ya Uraisi imechakachuliwa na imeshindwa kupita kwenye fax machine na uchunguzi umethibitisha fomu hiyo n haramu...........
 
Kama MAKADA wa CCM ndiyo wana simamia zoezi zima la uchaguzi then tutegemee haki kutoka kwao? watanzania tuamke tuna hitaji technical team yenye watu credible wenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele na siyo chama au utashi wa makamba.... if you read btw the lines utaona range ya matokeo yanayotangazwa na akina Kiravu na makame utaona kuwa wanahakikisha CCM wanashinda kwa 75% plus. Hii nikutaka kuhalalisha utabiri wao wa kupikwa na REDET pamoja na Synovate. Tuko wengi this tym hatutakubali kutawaliwa na kuendelea kuwa fukara chini ya serikali haramu ya CCM... eti MKUCHIKA ameshinda ubunge duh! CCM NI WAHUNI wanacheza na maisha yetu watanzania... Movement ya kuwang'oa ni lazima ...hakuna kusubiri uchaguzi wa 2015... Tanzania ni yetu sote ... Vijana tunaweza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…