Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Jinga kweli wwSiku ya jana jioni nilipata bahati ya kukaaa na mtu wa kitengo sehemu moja maarufu kwa ulaji wa kitimoto a.k.a Noah na aliniambia mambo mengi sana ila hili moja kwa kweli lilinikaa kichwani
Ushawahi kujiuliza mbona siku hizi balozi wa Japani yuko kifrontfront sana kwenye media,mara kasaidia ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi,mara kaenda kufungua choo cha mtakuja primary kilichojengwa kwa msaada wa Jica,mara leo huku kesho kule na lazima tv zirushe na bwana yule ambassador yeye anatwanga kiswahili tu kama sio mjapani vileee
Kumbeeeeeee,jamaa wanavizia deal la Noah kwa hesabu ya chini serikali itaagiza Noah Milioni 30 kugawia Raia wake very soon baada ya matapeli wa Accacia kutulipa hela zetu
Deal hiyo itakuwa kubwa zaidi kuwahi ktokea kwa kiwanda cha magari kupokea order moja na haitakuja kutokea tenaaaaa.
AISEE.... NA ZILE BAJAJ AMBULENCE 400, ubalozi wa India nao ulifanya hayo?Siku ya jana jioni nilipata bahati ya kukaaa na mtu wa kitengo sehemu moja maarufu kwa ulaji wa kitimoto a.k.a Noah na aliniambia mambo mengi sana ila hili moja kwa kweli lilinikaa kichwani