Januari 1, Kenya yatangaza kurudisha kodi kama ilivyokuwa kabla ya corona

Januari 1, Kenya yatangaza kurudisha kodi kama ilivyokuwa kabla ya corona

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Fedha wa #Kenya, Ukur Yatani ametangaza kurudisha kodi mbalimbali ambazo zilipunguzwa au kuondolewa ili kutoa unafuu kwa wananchi baada ya nchi hiyo kupigwa na janga la #COVID19

Watu wanaopata chini ya Ksh 24,000 sawa na takriban Tsh. 495,700 hawatalipa kodi ya mapato (PAYE). Kodi ya Kampuni itakuwa 30% ikipanda kutoka 25%

Pia kodi ya ongezeko la thamani itarudi kuwa 16% kutoka 14%. Kodi hizo zitaanza kutozwa Januari 1, 2021

===
Treasury Cabinet Secretary Ukur Yatani has announced that taxes cut during the start of the pandemic will revert to normal from January 1, 2021.

However, the CS said those earning below Sh24,000 will continue enjoying 100% tax relief by exempting them from Pay As You Earn (PAYE) tax.

Yatani on Friday said the move was necessitated by the ease of some of the containment measures and subsequent resumption of normalcy.

The CS said that effective from January 1, 2021, the Corporate Tax rate will revert to 30 per cent from the current 25 per cent.

The individual Income of Tax rate (VAT) will revert to 16 per cent from the current 25 per cent and the Value Added Tax rate VAT will revert to 16 per cent from the current 14 per cent.
 
Mbona ugonjwa ndio kwanza unashika kasi huko Kenya, lengo la kupunguza kodi lilikua ni lipi kama sio kupunguza madhara ya kiuchumi yanayosababishwa na Corona?, mbona sasa hivi hali ya Corona ni mbaya zaidi?. Hatuwaelewi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa pimaaaaa pimaa pimaaaaa pimaa pimaaaaa weee.

Sasa hata wanakoelekea hawakujui, wamevulugwa.
😃😄😀
 
Back
Top Bottom