Januari 24: Siku ya Kimataifa ya Elimu (World Education Day)

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Siku ya Kimataifa ya Elimu huadhimishwa kila Januari 24. Kwa mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa, hivi leo Watoto na Vijana Milioni 258 hawaendi Shule.

Vilevile kwa mujibu wa Shirika la UNESCO, Watoto na Vijana Milioni 617 wanaoenda Shule hawawezi kusoma na kufanya Hesabu za kawaida. Wengine wapatao Milioni 4 ambao ni Wakimbizi hawapo Shule.

Pasipo Elimu Bora na yenye usawa kwa wote, Nchi hazitofanikiwa kufikia Usawa wa Kijinsia na kupiga vita umasikini ambao unawaacha nyuma Mamilioni ya Watoto, Vijana na Watu wazima

CoronaVirus imeathiri Sekta ya Elimu duniani kote, na masomo ya takriban Wanafunzi Bilioni 1.6 wa Shule na Vyuo yaliathiriwa mwanzoni mwa mlipuko huo ambao upo hadi sasa

Watoto kutoka Familia za chini hawakupata nafasi ya kuendelea na masomo kama ilivyokuwa wale wenye uwezo. Hii ni kutokana na changamoto kadhaa zikiwemo umeme na vifaa vya kielektroniki

Pengo la Kidigitali pia liliathiri Watoto wadogo pamoja na wale wenye Ulemavu kwani utaratibu wa kusoma kutokea nyumbani kwa kiasi kikubwa haukuundwa kwa njia inayokidhi mahitaji yao

=====

Education is a human right, a public good and a public responsibility.

The United Nations General Assembly proclaimed 24 January as International Day of Education(link is external), in celebration of the role of education for peace and development.

Without inclusive and equitable quality education and lifelong opportunities for all, countries will not succeed in achieving gender equality and breaking the cycle of poverty that is leaving millions of children, youth and adults behind.

Today, 258 million children and youth still do not attend school; 617 million children and adolescents cannot read and do basic math; less than 40% of girls in sub-Saharan Africa complete lower secondary school and some four million children and youth refugees are out of school. Their right to education is being violated and it is unacceptable

Education is a human right

The right to education is enshrined in article 26 of the Universal Declaration of Human Rights. The declaration calls for free and compulsory elementary education. The Convention on the Rights of the Child, adopted in 1989, goes further to stipulate that countries shall make higher education accessible to all.

Education is key to sustainable development

When it adopted the 2030 Agenda for Sustainable Development in September 2015, the international community recognized that education is essential for the success of all 17 of its goals. Sustainable Development Goal 4, in particular, aims to “ensure inclusive and equitable quality education and promote lifelong learning opportunities for all” by 2030.

Sources:
1. https://www.un.org/en/observances/education-day
2. International Day of Education
3. https://unesdoc.unesco.org/ark:/48223/pf0000380128
 
ELIMU NI BAHARI, HAINA MWISHO
 
Back
Top Bottom