Januari Makamba yuko wapi?

Januari Makamba yuko wapi?

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Yuko wapi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba tangu atumbuliwe uwaziri hajaonekana hadharani kuanzia jimboni hayupo wala bungeni hayupo Je Januari Makamba yuko wapi?
 
Kaenda kutafuta wateja wa kuinunua Tz
 
Back
Top Bottom