January awasha moto wa katiba na kula kona, facebook

Mzee Mwinyi ,uwezo wake wa kufikiri Umezeeka,bora akae kimya asije pelekwa The Hague.

Ndo maana hata tuzo na mabillion ya MO yanampitaga kushoto, mawazo kama haya ndo yaleyale ya akina Bagbo!
 
Mtu wa Aina hiyo ni mwoga na hafai kabisa kwenye Jukwaa la Siasa..!!..

Aige mifano ya Watu Kama John Mnyika na Steven Nyerere ambao tuko nao FB na wako makini sana ktk kuchangia mada na mawazo mbalimbali pindi wanapoanzisha au yanapoanzishwa na watu mbalimbali wenye mitazamo makini yenye kuweza kulipelekea Taifa na Wananchi wake ktk Maendeleo ya kweli..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…