Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Kwa macho yangu ya haraka haraka tu leo hii hapa nje nikisubiri mzigo wangu utie timu nimekutana na washkaji kama sita na wanaume wa makamo kama watatu hivi wakiwa njiani kuelekea kwa fundi hapo tu jirani kupunguza nguo zao hakika nimejiuliza sana tatizo liko wapi?
ina maana january ndio imeanza kufanya kazi yake ? Lile pilau la X_mass na mwaka mpya halijawanenepesha mwili?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hakika january acha iitwe january we Salute you mr January.
Sent using Jamii Forums mobile app