Akiba ya bank imekaushwa na Ada za watoto hakika huu mwezi unaweza kupigwa na mkate mpigaji akadhani kakupiga na jiweHahahaahaa....
Ni mwezi ambao kupishana na mtu anaongea na kujifyonya mwenyewe si kitu cha kushangaza
Ongera sana mkuuNikiwa na Mawazo nazidi kunenepa hapa nilipo nikisimama utadhania passo imepaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiba ya bank imekaushwa na Ada za watoto hakika huu mwezi unaweza kupigwa na mkate mpigaji akadhani kakupiga na jiwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wakiwa na stress ndo wanakula zaidi kama namna ya kupunguza stressNikiwa na Mawazo nazidi kunenepa hapa nilipo nikisimama utadhania passo imepaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma kabisa jana nimepishana na mdada mmoja hivi anaelekea shuleni kwa dogo kulipa ada, nikampa hiii!! Gafla nikasikia akisema aisee nipe dk tano tu nakuja tuongee[emoji1] [emoji1] [emoji1] sijui aliwaza nin kwa kweli. January hii haijawai kumwacha mtu salama hakika.
Kuna watu wakiwa na stress ndo wanakula zaidi kama namna ya kupunguza stress
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe nlikuwaga hivyo,nkienda boarding tukirudi wenzangu wamekongoroka mie nna kitambi.Solution ni kubadilisha ulaji.Ukiwa kwenye hali inayokufanya kula kula kila mara chakufanya ni kula vyaula vidogo vidogo ambavyo havinenepeshi badala ya kula heavy meals.Mfano nkiwa na njaa badala ya kuagiza chipsi zege nakula karanga za kukaanga,ama korosho ama matunda na mwili unakuwa tayari usharejista kuwa nimekulaNdiyo Mimi dah! Yaani tabu ukinikuta nimepungua hapo ujue nina kitu cha maana kuanzia kwenye account hadi home
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] Aiseeeeer njaanuary ni nomaaaNoma kabisa jana nimepishana na mdada mmoja hivi anaelekea shuleni kwa dogo kulipa ada, nikampa hiii!! Gafla nikasikia akisema aisee nipe dk tano tu nakuja tuongee[emoji1] [emoji1] [emoji1] sijui aliwaza nin kwa kweli. January hii haijawai kumwacha mtu salama hakika.
Smart guy
Acha kbs kidume nikabaki nikicheka kwa dharau huku nikijisemea January hiii itawanyoosha wengi walahii.
Aiseeee[emoji3][emoji3][emoji3]Acha kbs kidume nikabaki nikicheka kwa dharau huku nikijisemea January hiii itawanyoosha wengi walahii.
Smart guy
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lete mrejesho bwana zero IQ, jana ulisema una miahadi sehem 3, natumai saiv ahadi mojawapo imetekelezeka