colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Ukumbuke kulipaWeekend yangu ni saafi baada ya kupata mkopo toka Tala na Branch. Ama kweli nimeamini neno la Mungu lisemalo, basi msisumbukie miili yenu ivae nini na tumbo lenu lile nini. Utafuteni ufalme wake na haki yake. Mengine yote mtazidishiwa.
Haaa nimecheka san utadhani zuzu. Haaaaa kwahiyo wewe unamcheka ndiyo utaonekana hamnazo siyo...loh JF kibokoHahahaahaa....
Ni mwezi ambao kupishana na mtu anaongea na kujifyonya mwenyewe si kitu cha kushangaza
Leo wameshaanza kunitumia message sijui hawajui Kama hii January [emoji23][emoji23][emoji23]
Ugari na maharage plus mboga za majani mkuu bila kusahau mrenda,parachichi ndizi na kama kuna tikiti maji pembeni kwangu mwake