January Makamba: A New Generation Leader!

So Unajuana na JM personally? Vipi hiyo tuhuma ya Mlalahoi kuwa kamtekeleza mama mtoto wake?

I don't know him personally, please don't get me wrong... I just like the guys's smartness and his ability to focus in his work, unlike many young people out there who have the potential lakini wanachezacheza tu.
 
I'm starting to see watu hawana hoja bali wana tetea tu ushabiki. It's sad Tanzania hatujui what qualities make a good leader. Haya ndiyo yote yaliyo muingize JK madarakani. We are simplistic and easily impressed by little things. Ndiyo maana hatuendelei, mtu akiona gorofa jipya tu Posta eti sasa hivi Tanzania kama Ulaya au Dar kama New York. I see mafisadi are not the only problem we have.
 
Haha umeniacha hoi babu duh!!

Ila wanaosema huyu dogo handsome nao metre zao za kupima uhandsome ziko chini sana (No homo).

Kuna mtu ana text/audio/video ya hiyo hotuba aliyotoa JM kwenye huo mkutano wa CCM?

Chicks go c....razy! over him!
 
Chicks go c....razy! over him!

Haya tunaomba hiyo hotuba aliyotoa kwenye huo mkutano wa CCM.
Kila mwanaume/mwanaume ana watu wake wanaomzimia au hujui ilo?
 
Puliiiiiiz...speak for yourself.......say Kui is crrrrrrazy about him....

LOL!, LOL!

We NN wewe, and remember that he seems soo sweet and touchy...and when you add intellijensia yake...that's why chicks go c...raizy over him.
 

Hapa ukiomba sijui hotuba au baadhi ya maandiko ya huyu muungwana utaambiwa nenda kagoogle.
 
Hapa ukiomba sijui hotuba au baadhi ya maandiko ya huyu muungwana utaambiwa nenda kagoogle.

Unam nadi mgombea kisha unasema katafute sera zake mwenyewe na ukimaliza umpe kura dah!!! Mimi nipo open minded about this guy lakini tatizo wanao msupport badala ya kutoa hoja za kumuonyesha kuwa anafaa wame badilisha uongozi kuwa kama kinyang'anyiro cha Miss Tanzania. Lets get serious people. Mnasema anafaa sawa toeni hoja na ushahidi wa kuthibitisha haya. Ukiuliza oh wivu yeye ni mzuri sana eh.
 
hizi pozi za jamaa kwenye hzi picha na hawa wazee zimenipa mashaka..zimekaa kisiasa sana!
 

Mwana F, the guy is smart and he seems focused, that's why I support the fact that akipikwa vizuri sasa, we can have one strong leader in the future. If we have and see people like him now, why not encourage them for the future of our country?

Hata wewe unaonekana mzuri mbona? πŸ˜‰

But, looks matters too, to say the truth. Kwani nani anataka watu ambao hata suruali hawawezi kufunga? like many of our...
Huoni hata viuno nyao, inabidi wavae elastic. Who want that???!!
Lakini unaona kijana January alivo mfano intellectually, physically...unaona suruali ilivo kaa vizuri...πŸ˜‰
 

Kwa hiyo kijana anamelemeta.
 

Haya tunaomba maandiko, au kazi zake zinazokufanya useme hivi.
 

Dada kui at least mimi unaweza kuni judge kwa post zangu za JF na kusema kama nafaa or not. Lakini huyo JM tuna nini cha kumpimia? Tuna taka material kuona hiyo intelectuality yake ambayo nyie mmeiona. Mimi siwezi kusema anything about the guy being a good leader kwa maana simjui, sijawahi kusoma material yake yoyote na wala sija wahi kumsikia akiongea. Mkileta vitu kama hivyo ndiyo tuta weza kujudge vizuri dada yangu. Seeing is believing Kui and I ahven't seen anything yet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…