January Makamba: A New Generation Leader!

january hawa rafiki zako ..vipi ..mbona mapema sana.......kampeni za 2025 hizo kaka...hata kama ni kweli ingebidi ziazie kwako peke yako..kwa kuweka nia zikiwa nje haraka hivi utawekewa visiki na wanadamu..kuanguka hutaepuka.....bado sana!!! tuoneni tuwape mikakati ..haiendi kwa pupa hivi!!!
 
This is ridiculous! mtu umetoa hoja mbovu unapewa ukweli unaanzisha malumbano yasio na msingi kimbilio lako ni gender segregation! mtakuwa lini unapokuwa huna hoja kubali au jinyamazie tu! unajua wanasemaje kimya huonesha busara! utetezi wa kell01 unanikumbusha ule utetezi wa Meghji wakati ule mabo ya EPA yameshika kazi na ye ni waziri wa fedha, waandishi walimpiga swali nae eti akajibu" mnanishambulia kwa maswali kwa kuwa mi ni mwanamke" strange eeeeh!
 


Acha kunisingizia bwana kulE YA miye nilikuwa friend na kila mtu Critic,blinglbing,mzee mbegu hadi Dumisane nshimana......
 
Una project gender inferiority yako. Hoja mbovu ni hoja mbovu tu. Haijalishi kama aliyeitoa ni mwanamke, mwanamme, transgender, hermaphrodite, gay, au hata klingons...

I'm going to heed your advice and let it be...okay?


Mkimaliza kubiSHANA mtufahamishane......hoja tumewaachia
 
i am not trying get defensive ila habari ndiyo hiyo....swali wewe ulivyoandika kwa nini wanawake wa shave..uliona hiyo ni hoja ya maana?....just curious!>..
Kidole na macho,mama.
 
Kumbe kupiga soga na Rais nayo ni sifa ya kuleta mabadiliko baadae...kazi ipo. Swali la msingi hapa ni moja tu - OBAMA AKISEMA FULANI NAMKUBALI ndo wote tuamini hivyo, mi sidhani Bwana Baraka O. Hussein ni kila kitu eti kwasababu ni Rais wa Marekani. hoja hizo ni za kipuuzi kabisa. Mi nilishawahi kukaa karibu na Kikwete nikawa namuuliza maswali machache na yeye anajibu...kwahiyo na mimi unanipa nafasi gani maana alikuwa busy akijibu maswali yangu na picha nikapigana nae. Tuache brainwashing attitude.
 

Wewe acha tu. Huyu Obama huyu watu wanavyomhusudisha kila anachosema kwao kinakuwa kama holy gospel. Sasa hivi Obama akisema Kikwete ni best president ever in African history watu watamwamwini. Wako radhi wampe chochote na wamkubalie chochote. Ni u groupie fulani hivi ukiniuliza mimi. Kibaya zaidi ni kwamba wengine wana fantasize kutiwa na yeye. Kaaaazi kweli kweli
 
Hahahahaah!...uwiii niacheni nicheke miye....yaani watu inaonekana hii kitu imewakera sana.....thats what's up!...mtampiga sana madongo kaka wa watu na mtasema sana hoja ni ya kipuuzi but at the end of the day umefungua na umesoma na ukatoa comment.....so who is mpuuuzi now?......go figure!
 

Watu wanakuja hapa kupata burudani na ndio maana hii iko kwenye jukwaa la ma "celebrity". Hakuna u seriousness kwenye hii hoja. Kwanza hakuna hoja hapa. It's pure hillarity.
 
tumejua kumbe ulianza kumfukuzia JM tangu YA leo umesikia "kalamba dume" unaanza kuanzisha thread za kujikomba kwake....grow up lady....ur not such cheap.....soon baada ya october 2010 unanianzishia.....mie sijali ila uwe mkali gari taka hili
 
Kuna wanaume wengine humu JF for really for really!...inabidi waende kwenye mashindano ya miss congeniality maana mko too sensitive na vitu vidogo sana...kama unajua kuwa JM si lolote na hana kitu chochote cha kumfanya awe leader an blah blah blah...so what?...kama una hasira sana nenda kasage vyupa then unywe utakuwa alright!.....Garlie!....
 
tumejua kumbe ulianza kumfukuzia JM tangu YA leo umesikia "kalamba dume" unaanza kuanzisha thread za kujikomba kwake....grow up lady....ur not such cheap.....soon baada ya october 2010 unanianzishia.....mie sijali ila uwe mkali gari taka hili


Miye nimeanza kumfukuzia who?....hahahaha wewe ndiyo you need to grow up kwa kuanza kupakaza vitu ambavyo hujui hata unaongea nini.....and stop it i dont like that and its not cute at all....acha kuanzisha rumours zisizo na puwa wala mudomo kijana...sipendi na tena sitaki usenge unaotaka uanzisha hapa.....I am very serious about it!...kuna vitu vya joke but this is not a joke period.

Tabia zako za huko kwenye zeutamu usitake kuanza kuzileta hapa!.......You are too grown fr that dude.
 
This guy is a danger to national security, I know he is a rookie and all, but did he have to be so callously cavalier?

 
Naombeni link ya hiyo blog ya January, alafu hapa watu wako so serious kama heart attack duh!!
 
Ameoa zamani sana enzi za utawala wa Benjamin Mkapa.....why ulikuwa unataka kumpigia pande mtu nini?....hahaha kashaija its too late....

Kama kaoa long, mbona hapo kwenye article yake anazungumzia kuhusu maswala ya kumicrowave ama mke ni sista du asiyejua kupika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…