Uchaguzi 2020 January Makamba akana kuporwa fomu kwa mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA

Umoja ni nguvu.. haswa pale mtu anapojitambua kuwa.. bora utawala wa Magufuli.. kachoka viongozi wake.. midomo hata ruzuku.. wanakula wao hawawathamini kwenye uchaguzi huu..

Magufuli 2020💯
 
Umoja ni nguvu.. haswa pale mtu anapojitambua kuwa.. bora utawala wa Magufuli.. kachoka viongozi wake.. midomo hata ruzuku.. wanakula wao hawawathamini kwenye uchaguzi huu..

Magufuli 2020💯
hakuna mwanasisiem anaejitambua
 
Tanga hakuna jimbo ambalo chadema anaweza kuchukua. Hata lile la tanga mjini Cuf ilichukua kwasababu ya nguvu ya lowassa. Lissu hizo nguvu hana na hata wapa cdm jimbo hata moja katika mkoa wa Tanga.
 
Tanga hakuna jimbo ambalo chadema anaweza kuchukua. Hata lile la tanga mjini Cuf ilichukua kwasababu ya nguvu ya lowassa. Lissu hizo nguvu hana na hata wapa cdm jimbo hata moja katika mkoa wa Tanga.
naona umeconclude mtabiri uchwara
 
Tapeli mwizi wa kula 2015 sisi tutamuamini vip?

Lengo la CCM Ni Majaliwa, Npe na January wapite bila kupigwa ili wazunguke na Jiwe kwenye kampeni kumsaidia.

Kitu ambacho hawaelewi Ni kwamba mahitaji ya wakati watu hawaitaki CCM.
CCM itakaa madarakani hadi vyama vya upinzani vitakopojua kutofautisha kati ya siasa na uanaharakati. Hadi watakapojua kuwa upinzani sio kupinga kila kitu. Hadi watakapojua kuwa vyama vya siasa sio miradi binafsi ya kujinufaisha. Hadi watakapoacha kugombania ruzuku. Hadi watakapoanza kuonesha uaminifu usiokuwa na mashaka. Hadi watakapojua kuwa siasa sio matusi, kejeli na dharau. Hadi watakapojua kuwa Tanzania ni ya Watanzania wapenda amani. Hadi watakapoacha kutoa kauli za umwagaji damu. Hadi watakapoacha usaliti wa nchi kwa kukumbatia mabeberu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…