Pre GE2025 January Makamba akanusha kupeleka Madrafti Bumbuli

Pre GE2025 January Makamba akanusha kupeleka Madrafti Bumbuli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam Wakuu,

Kufuatia video fupi ya Wananchi wa Bumbuli kulalamika kupelekewa drafti na Makamba badala ya maendeleo

Soma hapa:
- Kuelekea 2025 - Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama

Kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) Makamba amekanusha kupeleka na kutoa ufafanuzi huu:

Hapana. Sikupeleka.

1. Kuna kijana anatengeneza hiyo michezo aliomba kutumia picha yangu. Sikumkatalia.

2. Shida ya barabara aliyosema ni ya kweli kabisa. Kazi nzuri imefanywa na Serikali yetu, lakini hatujaweza kuifikia hiyo barabara.

3. Tuna deni la ratiba ya kuanza ujenzi.

Nini mtazamo wako kwenye hili?
 
Madrafti ni nini?
Yakucheza yale wanaweka visoda au vifukiko vya juicy au maji pande mbili vinakua tofauti
IMG-20250108-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom