January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?


Sijamuhukumu mtu atajihukumu mwenyewe.
 
Daaah! Kumbe ni mchezo wa siku nyingi??
 
Tanga nomaa..... huyu mzungu kalala,hakujua kule ni waja leo waondoka leo!
 
Aisee. Hakuna haki Magufuli asipomfukuza huyu fisadi. Na huyu Mwamvita mbona hatulii, si ana même?
 
Nilidhani Ameolewa na Mzungu...
Aliolewa na mzungu wakazaa mtoto mmoja .
Jina LA mtoto acha ni silicone.

Huyo mzungu ndio anae endesha hiyo aviation college ndogo hapo dar airport terminal one .
Baadaye Mama yake na Mwammy akamwambia huyo mzungu ya kwamba yeye ni masikini kuwa na Mwammy. Ndio kipindi hicho wanafanya mipanga Mwamvita aamie South Africa ili awe free. Na aachane na huyu mzungu ambaye original yake ni mtu wa Australia.

Story ni ndefu anyway kwa ufupi ni kwamba walitaka kumfilisi huyu mzungu kabisa baba wa mtoto wake . Na kila akitaka kuendeleza hiyo aviation college hapo Dar . Makamba wanaingilia.
 
hivi nyaraka hizi ni za kweli hama. wapi TISS wauwa nchi ni wale mnaowalinda kama nyaraka hii ni ya kweli basi nchi ishauzwa kitambo
 
Muswada wa Cybercrime ulikimbizwaaaa, saa unaanza kumtafuna Makamba, alijua adoc kama hizi hazitavujishwa..
 
mtu ukisema ccm wote ni majipu watu wanatoa macho lakini ukweli ni kuwa hakuna msafi ndani ya ccm
 
"remember you are investing
in your future minister of MINERALS and brother in law..."

hahaha.......I like that!
 
Huyu demu na kaka yake aiseee, Brother kaona awekeze kwenye tundu la dada ake aisee. Akisha gegedwa Brother ndio anapata pesa ya kampeni kweli hawa wagosi wanaondoa msemo wa wagosi wa ndima wazee wa kazi ninaowajua mimi. Ni aiiiiiiibuuuuuuu na laaaaaaaaanaaaaaaaa kubwaaaaaaa. Umalaya kisa kupata madaraka na pesa kwa kunyonya jasho la watanzania ukichanganya na mambo ya kichawi tunayosikia yaani hatakiwi hata kuwa baba wa familia
 
Wala sishangai huyu anauza nyapu ku-raise hela kwa ajili ya kaka yake. Wajibu hoja sasa ushahidi huu hapa. Sijui mganga wao ataaambia nini? Tanzania imekwisha
Mkuu kuna kivumbi huko Kwa Makamba kuna Mseto wa waganga wa kienyeji wapo busy kutuliza mizuka waganga wa kienyeji wamealikwa toka Cambodia , Mongolia ,Gambia na Nchi nyinginezo kibao Yaani badala ya kumaliza Deni Sasa wanatumia pesa kwenye Ushirikina ! !
 
Kama vile sielewi! inaonekana inatoka kwa Makamba halafu inaenda Barrick ila content!!!!!!!!!
 
Rais wa Kenya , Rais wa Zambia na Rostam Aziz wamechunwa sana na huyo mwanvita na pesa zote alikuwa alimpatia January na kuzitumia kwenye Ndumba na biashara haramu ikiwemo goli la mkono kwenye Ubunge.
 

Kwa hiyo familia nzima vibaka wazoefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…