Aliiba jimbo zima kila mpiga kura alinunuliwa ni pesa pekee imempa Ubunge kinyume na hapo Ubunge angeusikia kwenye Bomba licha ya kuendekeza Ushirikina pia .Lakini huyu dogo si alipita bila kupingwa jamani au huu Mchuzi ndio ameutumia Kupita bila Kupingwa
Ila ana Moyo kudadadeki ya Dadaangu auze K ili mimi niwe Mbunge? LoL bure nife na umaskini wangu
Ni majambazi wa kalamu na washirikina Hatari .Kwa hiyo familia nzima vibaka wazoefu
Huyo msafi anapatikana wapi sasa, Ukawa?mtu ukisema ccm wote ni majipu watu wanatoa macho lakini ukweli ni kuwa hakuna msafi ndani ya ccm
huyo Januaty kule ulaya na Nchi mbalimbali kaficha pesa nyingi za wizi ana mapesa mengi ya wizi na Sasa Magufuli kampa mapesa mengi Kwa ajili ya kampeni Zanzibar na umeya wa Dsm nazo ataziiba ili azitumie kumlipa huyo mzungu kisha aite waandishi wa habari akanushe yote.Duuuuuu, kweli ni laana kuwa mtanzania...
Haya mambo yanaendelea ndani ya nchi hii wakati wagonjwa hospitalini wanalala watano per kitanda wengine wanapewa bilioni kufanyia kampeni za kuiteka nchi. Tena huyu jamaa ndio mwenyekiti wenu wa nishati na madini, utajiri wa nchi ulipolala.
January unauza nchi yako ukiwa kijana mdogo hivyo, tena wewe ni mjumbe wa secretariat ya chama na ulishuka Igunga na helicopter ukiwa na magufuli, kumbe ndio mambo yenu hayo... What a laaana
Hapa issue ni matoto matukutu matapeli ya Makamba kwanza wengine baadae .Huyo msafi anapatikana wapi sasa, Ukawa?
Exactly, sasa huyo jamaa mbona anaanza Ku generalize CCM wote.Hapa issue ni matoto matukutu matapeli ya Makamba kwanza wengine baadae .
kale kamdudu kanaonea maskini ushawahi kuckia kameua raisi au waziri ...........Kuna kael kamdudu umekafikiria???
jina lako linareflect comment yakoMzee Edward lowassa ndiye anayefahamu kuhusu kamati ya Madini 2010 kamuulizeni ana majibu yake!
Kwani kuna mbunge hata mmoja wa CCM alieshinda safi bila kusugua mifuko ya wahisani au kucheza vigodoro? vinginevyo matokeo yangelikuwa kama ya Zanzibar na kuishia kufutwa kwa uchaguzi!Kuna Mzalendo kafanikiwa kunyaka huu waraka kutoka VODACOM. Angalieni hawa mafisadi wanavyotumia madaraka vibaya. Wanauza uongozi wa nchi kwa maslahi yao binafsi. Huu ndio mwanzo wa mwisho waanza kutayarisha pa kujifichia.
THIS IS PART 1, THERE IS MUCH MORE TO COME.
Kwa mobile users,
rasilimali za nchi zilihusika ktk huo uchangiaji kama zilihusika weka hapa....Kwani kuna tatizo kwa mtu kuchangiwa fedha za kampeni mbona wengine mlichangia kwa sms na njia nyingine kibao
Kuna Mzalendo kafanikiwa kunyaka huu waraka kutoka VODACOM. Angalieni hawa mafisadi wanavyotumia madaraka vibaya. Wanauza uongozi wa nchi kwa maslahi yao binafsi. Huu ndio mwanzo wa mwisho waanza kutayarisha pa kujifichia.
THIS IS PART 1, THERE IS MUCH MORE TO COME.
Kwa mobile users,
kale kamdudu kanaonea maskini ushawahi kuckia kameua raisi au waziri ...........