hahahaaa basi itabidi niendelee tu na biashara yangu ya machungwa tu sasaMaskini sababu ya LISHE,lakini hao uliowataja mara tatu ya maskini,usicheke nao hao.Huoni wakiondoka ohh shinikizo la maji mekundu,oh kisukari,kamdudu brother
Few still enjoys the national cake, through what they call "Chupi"Kuna Mzalendo kafanikiwa kunyaka huu waraka kutoka VODACOM. Angalieni hawa mafisadi wanavyotumia madaraka vibaya. Wanauza uongozi wa nchi kwa maslahi yao binafsi. Huu ndio mwanzo wa mwisho waanza kutayarisha pa kujifichia.
THIS IS PART 1, THERE IS MUCH MORE TO COME.
Kwa mobile users,
hahahaaa basi itabidi niendelee tu na biashara yangu ya machungwa tu sasa
heshima yako bibieBora inalipa ukiwa na afya njema.Hizi AFYA za kwenda APOLLO kila siku hazilipi
Huyu ni mtu mwingine kabisa, kajamaa kameliza wengi mpaka kakanunua nyumba south hata ile ya mikocheni hata wazili akae miaka 10 kwa mshahara na marupurupu awezi kuijengaHuyu 'Mutaliano' ndio wa Barrick au ni issue nyingine...
Mhe...kumbe kuingia ikulu mara kwa mara kunalipa...
Ndo maana rais wetu JPM hataki wageni...
Usije ukapiga nae selfie ukatumia kutapeli watu...kwi kwi kwi
Ndio maisha. Mpe pole lakini. Magufuli aliahidi kutenda haki na pia aliomba wananchi wamuombee na kumsaidia kutumbua majipu. Kutoa information ya harufu ya ufisadi ndio kumsaidia kwenyewe. Sasa kazi kwake. Data ndio hizo, acheki transactions, correspondence nyingine na properties zake. Kama atakuwa amesingiziwa tutamtakasa humu humu.hapa nais inatafutwa kiki tu bongo maana bila kiki hakuna kitu wengine tumbueni yeye la kutumbua hana ila anaivisha na kuponesha pasipo kutumbua
Unajua kuna maadili ya viongozi wa umma?? Ni kwa nini mama Tibaijuka aliwajibishwa na kuhojiwa na tume ya maadili kwa hela aliyepokea toka kwa kaka yake??Mwamvita kamwombea kaka yake pesa kwa bwanake ili atumie kwa uchaguzi.
Tatizo liko wapi,????
Hakuna pesa iliyoibiwa ya umma. Kila mgombea au wa Chadema au CUF alitumia pesa ambazo alipata kwa namna ambayo hatujui, sana sana viwango vya matumizi vilitofautiANA.
LETS BE FAIR, tutafute sehemu ambayo JANUARY kafisadi hela ya umma badala ya kuingilia personal affairs za dadake na mpenziwake
Wakati wa Utawala wa Moi Kenya alikuwa na Stooge wake ambao Ndio waliokuwa wamchezea Deal zake. Kulikuwepo Nicholas Biwott (ambaye Ndugu Jonah Anguka alitoa Ushahidi Kuwa anaweza Kuwa Ndiye aliyemkongoli Dr. Ouko kwa Niaba ya Nyayo, and Joseph Kamotho.
Hivi Wakati wa Kikwete Ni Nani/Kina nani aliyekuwa Katika Nafasi hiyo mnadhani Hivi Kama Madili ya Kuvuruka Uchaguzi kwa Kunyang'anya Laptops Alicheza Huyu bwana Mdogo aliyekikaangoni, Ni nani alifanya Deal la Kunyanyua Ulimboka, na Deal Lilipofeli, Ni Nani alipewa Jukumu la Kufanya naye Mazungumzo SA.
Je hawa Wajamaa wapo Kweye awamu ya Tano? Mnaompenda Magufuli Msianze Matusi hapa, Hata Mimi Siana shida naye, Lakini Huyu Mzee Amezungukwa na Fisi wengi Mnno don't you think!
Mwamvita kamwombea kaka yake pesa kwa bwanake ili atumie kwa uchaguzi.
Tatizo liko wapi,????
Hakuna pesa iliyoibiwa ya umma. Kila mgombea au wa Chadema au CUF alitumia pesa ambazo alipata kwa namna ambayo hatujui, sana sana viwango vya matumizi vilitofautiANA.
LETS BE FAIR, tutafute sehemu ambayo JANUARY kafisadi hela ya umma badala ya kuingilia personal affairs za dadake na mpenziwake