January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

kwa uchafu huu unaweza diliki kuwapigia promo!na hawa wako wengi tu ndani huu mfumo fisadi.sijui wabongo tumelainiwa na nani na tunafeli nn.
 
Aisee rosh chungu na mwezi wa kwanza hawajaanza kufahamiana leo.

Wanapambana all the way.

Naona sasa wanautaka uwaziri mkuu baada ya kuona ndoto za kuwa namba moja hesabu hazijakaa vyema.
 
Enzi za mabomu zitarejea JF soon! Vita ya urais kwasasa ipo chini chini na tayari uhimilivu umeshaanza kukosekana mabomu yanaanza kwenda hadharani [emoji6]
 
Goodness gracious!!!!

yaani uchi unatumika kuraise pesa kwa kaka a future minister for minerals???

really really really????

I feel like bursting into flames
Hadi kwenye Ushungi mambo ni hayohayo!
 
Hii haimpotezei January sifa ya kuwa mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya madini na nishati? Wachilia mbali hiyo imminent ministerial post!
Kwa sababu nchi hii kura itapigiwa kwenye Ushungi?

K**a la M**Ayo zenu nyie!
 
Samahani mkuu.
Ningependa kuuliza kama umesoma kitabu kiitwachwa Robinson Crusoe by Daniel Defoe?
Dah mkuu! Maisha yangu yote mimi ni msomaji sana! Huyu ni Robinson Crusoe aliyekutana na cannibals na mutineers. Nadhani ni maisha ya hatari kuliko haya ya nchi ya Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…