January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

Namkumbuka baba wa taifa. Unakopa hela za kampeni utazirudishaje! Unakopa bilioni 2 utazirudishaje! Wizarani pale pana biashara gani! Inauma mjomba...!
 
Fake document
Na nashangaa bado lipo.

Invisible ondoa hili nyaraka famba humu, linashusha credibility ya JamiiForums.

Mtu yeyote anaweza kubandika gumashi lake hapa akaweka majina ya watu, come on Invisible!
 


Hii ni kuonesha tu kuwa huu ni mchezo wa kitoto, na ma mods bado mnauchekelea tu.
 
Na nashangaa bado lipo.

Invisible ondoa hili nyaraka famba humu, linashusha credibility ya JamiiForums.

Mtu yeyote anaweza kubandika gumashi lake hapa akaweka majina ya watu, come on Invisible!
aisee......... hebu na wewe ondoa fake name yako basi na invisible aondoe fake document and we all remove fakeness in JF

crappy brains indeed

Utashangaa sana mwaka huu
 
FF

these all come out because the greedy boobs are now fighting coz of unequal distribution of stolen resources and bribes... kwenye rushwa yoyote watu wakidhulumiana siri zote zinaanza kutoka

Raw Video: Antelope Hits Biker During Race - YouTubehttp://www.youtube.com/watch?v=89-yq2jlnnc&feature=player_detailpage

this is what haeppened... wameingiliana kwenye anga
 
Tatizo hapa mkuu si mchango kama unavyodhani.Hapa ni solicitation.Halafu ni quid pro quo.Anatowa mchango in exchange for rasilimali zetu.Pia kukutana na Rais,Waziri mkuu na maofisa wengine wa ngazi za juu.Nchi inauzwa lef,t right.
 
This is utter rubbish! How come the paper is crumpled but the typeface is not distorted? Yani siamini kwanza moderator anaruhusu this forum to be used to launch such filthy personal attacks. Kweli Kama ali yodels Mkapa, Watanzania tumekuwa wavivu kufikiri
 
Ngoja na mimi nizichange nipige Mzigo dadaa nipate audiance na JK, Pinda na Vingunge wengine
 
naomba reply ya huyo hawara yake....alijibu vipi?
 
"Handsome" ni nani hapo?
Atakuwa kibosile mmojawapo wa Barrick,labda tujaribu kuangalia ni yupi huwa anakutana na kina JK,Pinda na maofisa wengine wa ngazi za juu.Ama pia ambaye ameshawahi kuonekana na huyo mdada.
 
Mwamvita makamba mwanamke huna adabu ww.....hata aibu huoni,kuuza mwili...una totauti gani na machangudoa ww,tupe na bei kabsa
 

nakubaliana nawe, how come letters are not distorted?
 
you might have a valid point there

tatizo ni kwamba najua watu wanaotumia hiyo crumbled background kwenye emails zao... na nimeshawahi kuadvice waache kwani inaondoa seriousness kwenye official documents,

pia yawezekana aliyetuma naye ni spinner so anafanya makusudi

lakini pia inawezekana kwamba its a fake document
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…