"Handsome" ni nani hapo?
Tuwekee ambayo ni original yake, we huna mamlaka ya kuamua kuwa nyaraka ni feki au original, mmezoea kuifanya hii nchi shamba la bibi sasa mnaumbuka mnasema fake.
This is utter rubbish! How come the paper is crumpled but the typeface is not distorted? Yani siamini kwanza moderator anaruhusu this forum to be used to launch such filthy personal attacks. Kweli Kama ali yodels Mkapa, Watanzania tumekuwa wavivu kufikiri
Hiyo ni background mkuu ya Karatsi ambayo hiyo doc imekuwa printed
"Crappy brains" ni wewe mwenye bichwa panzi linaloamini kila kitu kinacho stick in his face from Jamii Forums.aisee......... hebu na wewe ondoa fake ....
crappy brains indeed
sasa hayo ya mapenzi na uchumba hayatuhusu