Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mkoa Una vijiji 400 afu wamefkisha umeme vijiji 500?????!!!!!!!!Ndo huyu hapa unataka awe raisi?View attachment 2709496
πππ Kwanza ncheke.. Ndo amekutuma hivo?#JanuaryMakambaForThePresidency2030
Wadau hamjamboni?
Ukweli lazima usemwe tu haya kama muda wa kuusema haujafika.
Ndiyo January Malamba ndiye chaguo sahihi la Watanzania kuelekea 2030
Naam anazo sifa zote, uchapakazi, weledi, uzoefu wa kutosha kuanzia awamu ya 3 hadi sasa.
Anao uzoefu mkubwa kwenye Serikali akihudumu kwa nafasi mbalimbali kuanzia Msaidizi wa Rais, Naibu Waziri na sasa Waziri kamili. Aidha amehudumu kwenye Chama cha Mapinduzi muda mrefu akiwa kada mahiri
Maeneo yote amehudumu kwa weledi mkubwa
Kwa maoni yangu yeye ndiyo chaguo sahihi la kizazi kipya.
View attachment 2709491
Mnywe nae BiaCCM ni ile ile, sahz tunamtaka Chalamila.
ππππJanuary ni Visionary Sana 2030 naona kama ni mbali ivi, Tunahitaji Rais mwenye Kariba kama ya January Makamba
I share your viewMakamba yupo smart sana kwa wajinga tu ila kwa werevu hakuna kitu pale, unfortunately wajinga ndiyo wengi.
BTW: Tayari mgao wa umeme ni rasmi nchini na hivi tunavyoongea mji kama Kahama upo gizani muda huu.