January Makamba anaongea kwa vitendo, umeme watengamaa

January Makamba anaongea kwa vitendo, umeme watengamaa

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,914
Reaction score
3,386
Baada ya kelele nyingi zilizotokana na kukatika kwa umeme mara kwa mara wakati tanesco wakifanya marekebisho kwenye mkongo wa taifa na kutokana na kupungua kwa maji katika mabwawa ya umeme hatimaye nchi imetulia baada ya wiki kadhaa kuwa na utengamano na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme.

Waziri Makamba na timu yake akiwemo ndugu Maharage Chande Mkurugenzi wa TANESCO wamefanikiwa kufanya kazi kwa vitendo na sio kwa maneno na kuwaacha wabaya wao midomo wazi. Ni matumaini yeti watanzania kufika mwakani tutakua na umeme wa uhakika na ziara kutokana na vyanzo mbalimbali vya umeme nchini vikiwemo Gesi na upepo.

Rais Samia
#KAZI IENDELEE
 
Ukame umeisha ama mitambo imeshafanyiwa matengenezo?
 
Back
Top Bottom