Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
mama yangu pombe imekuwa tamu paka unakula bia,ok ngoja mimi ninywe bia,MxKisharobaro zaidi
na sijawahi kumkubali kihivvyo
acha niendelee kula bia
na mengine hajasema alowahi fanya...Kumbe Januari udogoni amechunga mbuzi, amebwia pombe ya rubisi na ameuza mpaka gongo?!.
Prog. Iko hewani live now!,Siyo live
mie huwa namwona kama mtu aliyeangukia mtoni na suti akaamua kuoga tu.
Mwanzo nilindhania Nape ndio most promising young politician wa CCM!, kumbe sasa ni huyu Jamaa!. Most promising wa Chadema ni Zitto, most promising wa CUF ni Jussa na NCCR alikuwa Kafulila sasa ni Mkosamali!. Just take it or leave it!.pasco na wewe hueleweki sometimes'sioni kama huyu jamaa anaweza kunishawishi nikalishe makalio yangu na kumsikiliza'kama ndio wanasiasa mnaotegemea eti wa umri wetu basi tumekwisha
Jamaa amemalizia kwa kuzungumzia umri wa kupiga kura ushushwe mpaka miaka 15 na umri wa kugombea urais uwe 35!.
Dakika 30 zimekwisha!.
Pasco mpambe sijapata kuona! Kungekuwa na tuzo za watu wanaopenda kujipendekeza walahi ungezizoa zote!
Unashoboka hadi unatia kinyaa.
wivu utakuua ww mlevi wa shilembi