peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Wamechanganyikiwa hawaUkiwa muongo usiwe mwepesi wa kusahau,ndani ya Uzi mmoja umetaja Fedha kiasi tofauti Mara wamelipwa 57 Billion Mara ni 67 Billion,tushike kipi?
Uzi mdogo wa hovyo kama huu unashindwa kutunza kumbukumbu utaweza kumkumbusha January Makamba kazi?
January Makamba akiwa mkoa wa mara alitaja 67 Bilion, akiwa Kagera alitaja 57 bilion.Ukiwa muongo usiwe mwepesi wa kusahau,ndani ya Uzi mmoja umetaja Fedha kiasi tofauti Mara wamelipwa 57 Billion Mara ni 67 Billion,tushike kipi?
Uzi mdogo wa hovyo kama huu unashindwa kutunza kumbukumbu utaweza kumkumbusha January Makamba kazi?
January usipanick. Kwani we hujui typing errors? Ujumbe si umeuelewa.Ukiwa muongo usiwe mwepesi wa kusahau,ndani ya Uzi mmoja umetaja Fedha kiasi tofauti Mara wamelipwa 57 Billion Mara ni 67 Billion,tushike kipi?
Uzi mdogo wa hovyo kama huu unashindwa kutunza kumbukumbu utaweza kumkumbusha January Makamba kazi?
Awamu imekataliwa mbinguni na duniani.[emoji16][emoji16][emoji16]Wazee wa kuchukia na kuchafua,Awamu hii ina watesa sana mioyo yenu