Kijana anajitafutia umaarufu kwa kifupi!aingie ulingoni hapa tunaomwaga dataz bila uoga ili awe anachukua mawazo anampelekea Mzee Pale Ikulu,He wants to show initiative ambazo siye tumekwisha fanya hapa.
The way i know JF ndiyo kuna watu makini na wenye upeo mkubwa wa kimaendeleo kuliko sehemu yoyote ya mtandao .
Kwani Mwanakijiji akitumia jina la M. M MWanakijiji kuna kosa gani.??ina maana mawazo ya kila mtu yanaangalia anaishi wapi na anakaa wapi?hii ni tabia ya unafiki na ya kujisikia na amejifunza kutoka kwa baba yake!
Tuendelee kukata ishu tu wakulu,viblog vya kingereza tuwaachie kina January na watoto wa mafisadi ambo wamesomeshwa nje kwa pesa za kodi zatu ambazo wao wanzipata kwa Semina ambazo Mkulu Mwenzetu Pinda kazipinga
Nadhani tumpe Pinda mwaliko ili awe mwanachama wa hapa JF!
We dare talk openly.