Maneno ya January makamba from Michuzi blog,It looks like everyone has a blog these days. I have one too - a serious one! I intend to tap the best brains as contributors.
taifaletu.blogspot.com
January, unafungua blog kwakuwa umeona kila mtu anayo? Hapa sitaki kuamini ndicho chanzo cha wewe na Mzee Diallo kuanzisha blog hiyo.It looks like everyone has a blog these days.
Inahuzunisha sana hivi huyu si ndio nani vile wa Raisi......yaani jamaa mpaka sasa hivi hajui umuhimu wa blog kaona kila mtu anayo nae kaamua kufungua.January, unafungua blog kwakuwa umeona kila mtu anayo? Hapa sitaki kuamini ndicho chanzo cha wewe na Mzee Diallo kuanzisha blog hiyo.
Anyway, good luck mkulu
Inahuzunisha sana hivi huyu si ndio nani vile wa Raisi......yaani jamaa mpaka sasa hivi hajui umuhimu wa blog kaona kila mtu anayo nae kaamua kufungua.
Inaitwaje hiyo jamani? naomba ili na mimi ni clickJanuary, unafungua blog kwakuwa umeona kila mtu anayo? Hapa sitaki kuamini ndicho chanzo cha wewe na Mzee Diallo kuanzisha blog hiyo.
Anyway, good luck mkulu
January, unafungua blog kwakuwa umeona kila mtu anayo? Hapa sitaki kuamini ndicho chanzo cha wewe na Mzee Diallo kuanzisha blog hiyo.
Anyway, good luck mkulu
Kama mtu unaweza kuwa nablog yako ni wazo zuri tu,binafsi ni yangu jubi.wordpress.com
Katika profile ya Waziri mstaafu A. Diallo, kwenye sehemu ya occupation, kajaza "Chairman"!
Leo atakuwa kapata visitors wengi... Mzee Diallo naye naona kaamua kuingia katika Blogs. Sasa vipi mzee Makamba?Katika profile ya Waziri mstaafu A. Diallo, kwenye sehemu ya occupation, kajaza "Chairman"!
Mmh anuani ya blogu ni taifaletu. Lugha ya taifa letu ni Kiswahili. Ila sijakiona kiswahili humo. Kwa mwendo huu tutafika kweli? Haya wazee wa ngeli kila la heri na kunyanyua diskozi!