Silvanos
Member
- Mar 16, 2016
- 5
- 6
Poleni na mihangaiko ya Dunia
Ila Mungu yu mwema siku zote.
Bila kuwachosha naomba niende kwenye topic moja kwa moja
Hili sawa la January Makamba kupita kila mkoa anagawa majiko ya Gas kwa Mama ntilie, Baba ntilie na Wakaanga samaki na Dagaa limekaa aje ?
Maswali ya kujiuliza
- Pesa za kununua Majiko yote hayo amepata wapi?
- Kama ni Budget ya Wizara Je ilipitishwa na Bunge lipi?
- Kama ni Wafadhli Je, hao wafadhli ni akina nani na wanalengo gani?
Kwanini awamu hii?
Na kwanini apite yeye Binafsi kugawa majiko?
Kwani swala la Kugawa majiko silingeweza fanyika hata na wasaidizi wake?
Kuna nini nyuma ya Pazia?
Au ndo Kampeni za Chini kwa chini kuelekea 2025 kwa kivuli cha kusaidia Wajasilia mali wadogo.View attachment 2305487