January Makamba na Mohammed Dewji ni Miongoni Mwa Watu Wenye Nguvu Zaidi Afrika

Given Edward

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
850
Reaction score
203
Tarehe 31/1/2014 jarida maarufu duniani kwa takwimu, Forbes lilitoa list ya "10 Most Powerful Men in Africa 2014". Kati ya hao 10 wawili ni viongozi wa kitanzania January Makamba na Mohammed Dewji.

 
Haihitaji miwani kuona tofauti ya watu hao!!!!!!
 
Bangi mbaya sana kwa lipi wamefanya hadi kua top ten of the most powerful people in africa
 
Forbes ya mbagala bwana shid tupu hv Yusuph Makamba alishawahi kua katibu mkuu wa sisiemu enzi za Nyerere au Kikwete? Kwa maana hii Forbes ya mbagala onasema eti Yusuph makamba alikua katibu mkuu wa sisiemu enzi za Nyerere
 
Haihitaji miwani kuona tofauti ya watu hao!!!!!!
Na wewe ukaamini upuuzi huu? Mara matajiri sana, leo mna hoja ya watu wenye nguvu (ushawishi??) Hao Forbes wamekosa kazi sasa.Tena huyo mwakilishi au mtafiti waliyemtumia anatakiwa achukuliwe hatua. Aua kashikishwa? Ni vigumu mno kufahamu utajiri wa hao waitwao matajiri Tanzania. Hii inatokana na ukweli kwamba hesabu zao za biashara wanazificha ili kukwepa kodi. Wengine wana balance sheet mbilimbili.
Kila siku Mohammed Dewji, Mohammed Dewji. Katoka shule juzi, mali ni ya baba baada ya kuifilisi Gapex na mwenzake Nyakyoma, tena ya familia. Hivyo vyeo vya Ukurugenzi kapewa na familia, iweje tajiri awe yeye na siyo baba na familia? Haya mara wana nguvu sana Afrika, Nguvu gani? Hatujatulia sasa kaingia na Januari Makamba. Sababu yote hii ni 2015, ajitangaze mapema. Acheni upuuzi huu.
 
powerful people in africa!?!?!?!?!?!?!?!?
 
Naona hate preachers wako kazini..
Watu wanajaribu kuihusisha Forbes na kampeni za.CCM!
Wengine wanajaribu kudiscredit mafanikio ya Mo Dewji kisa mali ni za familia,wangapi wanapewa mali za familia wanateketeza kwa starehe na anasa?
Leo Dewji kuwezesha METL kutoka revenues za $30m/year hadi $1.3b/year in JUST a period of 10 years tangu alipokabidhiwa mikoba watu wanaona ni vitu vya kawaida!

Daah! Au kisa the two figures ni wanachama na wabunge wa CCM?kuna vitu vinahitaji sober minds kujadili hebu wekeni mapenzi yenu ya vyama vya siasa kando!
Wanasema "give credit where is due"

Once again hongereni Mo Dewji na J_Makamba (celebrating our own)
 
Huyo Janauary hakuna alilofanya la maana
 
Haka ka January kanashinda mitandaoni tu...hata sioni kazi anayoifanya..
 
media play media foul..jamaa mzuri sana wa hiyo
 
Utajuaje uzuri wke wkt ww sio mwananchi wa jimbo lake waulize wanajimbo lake watakupa majibu

Hebu mtuambie alichofanya cha maana huko,ni Naibu wa waziri wa Teknolojia na Mawasiliano but hakuna lolote alilofanya
Hawezi kuwa on the same level na Dewji.Halafu eti anawaza kuingia ikulu 2015, labda awe Raisi wa Bumbuli
 
haka ka january kanashinda mitandaoni tu...hata sioni kazi anayoifanya..

ulitaka kazi zake awe anakuletea una kagua acha unafik wewe huo ni ujinga kichwan mwaka yamejaa matakataka una uhakika gan anashinda mtandaoni muda ote january makamba rais ajae kama sio uchakubimbi
 
hebu mtuambie alichofanya cha maana huko,ni naibu wa waziri wa teknolojia na mawasiliano but hakuna lolote alilofanya
hawezi kuwa on the same level na dewji.halafu eti anawaza kuingia ikulu 2015, labda awe raisi wa bumbuli

belo huna vya kusema sisi jina wa kutanzania tuna taka tumpeleke ikulu awe rais wa tz na hoja hii haimlinganishi dewj na makamba naona huelewi kinin kimeandikwa sisi sio wa kukuambia kafanya nini wizara yake mengi yana jieleza fuatailia sio unakulupuka tu
 
Nguvu za kiume au?? Kama ni hizo Mimi ninazo za kutosha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…