Well, as long as hatujui vigezo walivyotumia hatuwezi bishana nao that much. Though, I doubt for some figures to be called "influence people in AFRICA"!
Forbes ya mbagala bwana shid tupu hv Yusuph Makamba alishawahi kua katibu mkuu wa sisiemu enzi za Nyerere au Kikwete? Kwa maana hii Forbes ya mbagala onasema eti Yusuph makamba alikua katibu mkuu wa sisiemu enzi za Nyerere