RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
NI wazi kuwa hawa vijana wamekuwa wakitazamwa kwa makini kabisa na kiongozi wa nchi jinsi wanavyofanya kazi tangu awateue kumsaidia kazi amekusanya ushahidi wote juu ya utendaji wao, haya yaliyotokea kuwatengua na kuwaweka pembeni siyo kwa bahati mbaya hao vijana hawafai hata kidogo kuwa viongozi kwani wanachojuwa ni kufanya hujuma katika Serikali wengi tulijoonea katika serikali ya awamu ya tano ilifika mkuu wa nchi anatukanwa kupitia voice notes zao haitoshi waliamua kujifanya kuwa NI wazee wa chama wakaandika waraka mrefu kwa kivuli cha wazee wao kusema msiba anawatukana hadi kufikia kutumbuliwa na aliyekuwa raisi wa awamu ya tano.
Kinachotafuna hao vijana NI makuzi waliyolelewa ndani ya chama na ndiyo maana Kila kitu wanaona bila wao ccm haipo lakini hawajiulizi kabla ya wao je ccm haikuwepo? Sasa mama anawajuwa vizuri kawaweka kwenye buyu la asali amecheki lambalamba yao akaona hapana hawafai! Ukibebwa bebeka maneno ya Kiswahili hayo sasa nyie mmebebwa na bado aliyewabeba mnataka mumwangushe hilo haliwezekani.