BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Napenda kusema ukweli wa moyoni mwangu, mfano wangu wa kuigwa katika siasa za kizazi kipya nchini Tanzania ni Ndugu January Makamba.
Mi ni mwanasiasa mchanga, nipo kwenye mambo ya siasa tangu 2013. Nilipoanza kujihusisha na mambo ya siasa, na Mungu akijaalia mwaka 2025 nategemea kugombea ubunge. Ila kila nikiangalia vijana wa sasa ambao naona wanafanya siasa zao kistaarabu, ni Ndugu Makamba Jr. Ni kiongozi mzuri, anaweza kutunza jazba na kuliendea jambo kimakini na kiuweledi mkubwa sana.
Hapendi jazba na anajali kuwasikiliza wengine ili kuboresha jambo liende vizuri. Namtabiria mema mbele ya safari.
Nawasilisha.