January Makamba - Role model wangu

BrownRange

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2020
Posts
927
Reaction score
1,191
Napenda kusema ukweli wa moyoni mwangu, mfano wangu wa kuigwa katika siasa za kizazi kipya nchini Tanzania ni Ndugu January Makamba.

Mi ni mwanasiasa mchanga, nipo kwenye mambo ya siasa tangu 2013. Nilipoanza kujihusisha na mambo ya siasa, na Mungu akijaalia mwaka 2025 nategemea kugombea ubunge. Ila kila nikiangalia vijana wa sasa ambao naona wanafanya siasa zao kistaarabu, ni Ndugu Makamba Jr. Ni kiongozi mzuri, anaweza kutunza jazba na kuliendea jambo kimakini na kiuweledi mkubwa sana.

Hapendi jazba na anajali kuwasikiliza wengine ili kuboresha jambo liende vizuri. Namtabiria mema mbele ya safari.

Nawasilisha.
 
Kama "Role model" wenyewe ndiyo hawa, basi kama taifa tuna wanasiasa wenyewe viwango vya chini sana kuwahi kufikirika.
 
Tuko pamoja! huyu ndiyo kijana kwa maana ya ujana! Ubunifu, Usikivu, na utendaji wa haraka, hakuna unafiki. Bashe for presidency! 2025!
 
Anabebwa na kikwete tu ila uwezo hana kwa kweli
Kabebwe na wewe Kama unaona rahisi. Mbona mnamchukia sana, amewafanya nn, au Kuna kosa gani amefanya katika uongozi wake. Ukinipa majibu ya haya maswali nitakuona una akili
 
Mimi nachomkubali huyu jamaa kwanza sio mtu vinyongo vinyongo na ana exposure yaani mtoto wa mjini.
 
Naunga mkono hoja, January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Pia January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in TZ!.
Na January Makamba live! Ndani ya Mikasi EATV!. Watch Now!
P
 
January Makamba my dream president. I wish one day my dream will materialize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…