Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Mmetumia nguvu nyingi kutaka kupata kura za wananchi ili kujijengea maslahi yenu lakini Wabunge wilaya ya Lushoto hamjawahi kushirikiana kujenga wilaya yenu.
Maeneo mengi hayana maji wala barabara njema vijijini jimbo la Lushoto na Mlalo kwa sababu Wasambaa na Wambughu hawana tabia ya kuwa shinikiza na nyie wabunge hamna sauti moja.
Huyo mwenzako mhe. Shangazi kwake mambo ya Simba ni muhimu kuliko ya Lushoto.
Shirikianeni hizi barabara kuu za kutokea maunganisho ya Magamba pale kwenda Mlola na kwenda Mlalo kinashindikana nini? Au walivyosafisha mpaka pale kwa Mstaafu Mkapa ndio inatosha?
Hivi mnajua Lushoto kama ingeunganishwa na hizo barabara utalii wa Lushoto na maendeleo ya watu yangekuwa juu?
Au mnataka kutuambia mmechoka?
Lushoto bado ina wadau wafadhili wengi toka nje hasa Ujerumani na Sweden lakini wanasema siasa zenu wabunge zinawakwamisha miradi mingi ya misitu nk.