January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

Tuache awamu ya mwendazake turudi tena nyuma, JK nae alikuwa akichukua hizo pesa za mashirika na kuzipeleka hazina? Nae alikuwa hafanyi repair?
 
Hao ni wale vijana wa marope wa mitandaoni. Yaani mfumo ulikuwa unasubiri awe waziri ndio uanze kuchoka?
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfuko mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Ujinga tu,mbona walikuwa wanafanya service vizuri,mkuu hauna abc za umeme,umeme hua haudanganywi hata siku moja especially mitambo mikubwa hiyo,utaumbuka tu kwa hiyo wanataka kukwepa tu majukumu wajipange wamalize hili tatizo. Mambo ya kiufundi unatengeneza mchana usiku unawapa watu umeme.
 
Tuache awamu ya mwendazake turudi tena nyuma, JK nae alikuwa akichukua hizo pesa za mashirika na kuzipeleka hazina? Nae alikuwa hafanyi repair?
Safi kabisa mkuu akikujibu unitag!! Loooo.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfuko mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Na kuna maeneo nguzo huwa zinabadidhwa

Ova
 
Mheshimiwa wewe ukiwa kama binadamu wengine una tabia ya kusahau, Ila internet haisahau.
Mwezi uliopita September 17, ulikuwa na kikao na Tanesco na ukawapa wiki mbili umeme kuacha kukatika la sivyo utawafukuz

Makamba anasema umeme unakatikakatika kwa vile miundombinu imechoka hivyo sasa wanafanya repair ambayo haikuwa inafanyika kuko nyuma kwa kumuogopa JIWE!!!

Sasa ulipokutana na wafanyakazi mara baada ya kuteuliwa, uliwapa wiki mbili umeme uache kukatika katika ama sivyo ungewafuka kazi!! Je ulidhani hizo wiki mbili ulizowapa hizo repair zingekuwa zimekamilika na umeme kupatikana bila shida?
 
M
Mtashabikia kwa sasa ila hali ikihalibika mtarudinkusema hapa kuwa kashindwa,
Na mliopata hasara ni nyie yeye hana hasara anaendelea kula kodi.zenu mnazokusanya hata kama umeme haupo
 
Huyu naye hata huo uwaziri si kapewa tu kama ceremonial.anajua nn kwenye electrical engineering.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfuko mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Ukimpenda mtu asikufanye uwe kipofu. Ukiendelea hivi utakuwa kuwa zuzu badae.

Jibu la kisiasa kabisa hili.

Mfumo unafanyiwa repair hadi umeme ukatike?

Nchi kama Marekani wao hawafanyi repair hadi umeme usikatike? Mnakela nyie watu kisa nyie mna majenereta huko.
 
Yaaano wakati wa kikwete miaka 10 ulikiwa unakatika kwa sbb walikiwa wanarepair,sasa bado unasema maoaka mitano umeme haukukatika kwa kuwa watu walikuwa wanaogopa kutumbulia..sasa walichorepair miaka 10 yakikwete ilikuwa ninini?
Muulize tu nchi kama Uingereza umeme haukatiki, wao hawaafanyi repair?
 
Yuko sahihi kabisa kwa jibu lake maana hana uelewa wa mambo ya umeme hata washauri wake wengi hawajasomea fani ya umeme yaani mkurugenzi mkuu wa Tanesco na bodi ya Tanesco. Yajayo yanasikitisha.
 
Walakini uko wapi, wakati unapewa jibu la kisomi...mlikuwa mnaongopewa huku mfuko mzima wa umeme unaharibika... Huwa nafikiria Hayati alikuwa na dhumuni gani na hii Nchi.
Hakuna ukweli wowote kuhusu lawama zako mfu.
 
Repair wakati wa magufuli zilikuwa zinafanyika Kama kawaida, Sasa hivi shida ninkuwa tumeralax Sasa hivi kwakuwa wanajua huyu Makamba hajui kitu kuhusu umeme wanamdanganya danganya na yeye anaingia upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…