Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Yaani bado unadanganywa kwa peremende kama mtoto!
Kama kweli January anaamini hicho anachokisema basi aende bungeni akayaseme hayo. Sio kuyasemea cho.oni kama anavyofanya sasa.
nazani january alikuwa sahihi tatizo la watu ni kutafuta namna ya kujiimalisha kisiasa,
Kwa wale waliyofuatilia siku January Makamba alipokuwa akitangaza nia alisema Tanzania hainufaiki na gas na haitanufaika na gas ndani ya miaka 20 ijayo! Katika hotuba yake aliianisha vyanzo vyote vya mapato isipokuwa gas na kusema kwa mikataba hii Tanzania haitanufaika na gas kwa miaka 10 atakayokuwa madarakani sasa ameona hana haja ya kuweka kama kipaumbele!
Huyu Makamba amewahi kuwa mwenyekiti wa nishati na madini sasa leo tunaanzisha mfuko wa gas wa nini? Kwa mapoto gani? Mbona haukushirikisha wananchi? Mbona wabunge wengi hawapo bungeni? Mimi naona kuna watu wanakimbia kufungwa sasa wanaleta hii sheria ili kupata mwavuli mpya na kuziba madhambi Yao.
Isije Leo akasema tofautiMagufuli mwenyewe alisema gesi si yetu. Na hukuona akihangaika na gesi. Hili suala nafikiri bunge limatakiwa kutupa majibu. Mkataba gani uko kwenye gesi yetu.
Kwa wale waliyofuatilia siku January Makamba alipokuwa akitangaza nia alisema Tanzania hainufaiki na gas na haitanufaika na gas ndani ya miaka 20 ijayo! Katika hotuba yake aliianisha vyanzo vyote vya mapato isipokuwa gas na kusema kwa mikataba hii Tanzania haitanufaika na gas kwa miaka 10 atakayokuwa madarakani sasa ameona hana haja ya kuweka kama kipaumbele!
Huyu Makamba amewahi kuwa mwenyekiti wa nishati na madini sasa leo tunaanzisha mfuko wa gas wa nini? Kwa mapoto gani? Mbona haukushirikisha wananchi? Mbona wabunge wengi hawapo bungeni? Mimi naona kuna watu wanakimbia kufungwa sasa wanaleta hii sheria ili kupata mwavuli mpya na kuziba madhambi Yao.
Ni kwa sababu na yeye alishiriki kupitisha ile mikataba kwa hati ya dharura akiwa sehemu ya Wabunge wa ccm na Waziri! Tena ilikua ni usiku wa manane! Wapinzani walipiga kelele weeeh kuipinga ile mikataba!! Wakaonekana kama wana nongwa vile!Magufuli mwenyewe alisema gesi si yetu. Na hukuona akihangaika na gesi. Hili suala nafikiri bunge limatakiwa kutupa majibu. Mkataba gani uko kwenye gesi yetu.
Gesi imebakwa na wanasiasa waliokuwa na ufahamu mdogo.Nazani January alikuwa sahihi tatizo la watu ni kutafuta namna ya kujiimalisha kisiasa