Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wadau,
January ndio hiyo imefika,wale wenzangu na mie ambao ada ya watoto ni tatizo mje tupeane mbinu,maana sioni mwanga kabisa.
Hata kujipanga imeshindikana mkuu,namuachia Mungu sasa anionyeshe njia,kibinadamu nimechemkaKwanini mkuu, ulikuwa haujajipanga?am ulilewa sifa bar?
Kwasasa dharura zimekua nyingi mkuu,wacha tutaona ,imani ndio itanisaidia sasaMkuu, minadhani swala la ada sio dharura. Hivyo mpaka sasa ulipaswa uwe tayari ushawalipia hata nusu ya ada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kujipanga imeshindikana mkuu,namuachia Mungu sasa anionyeshe njia,kibinadamu nimechemka