January na ada watoto

Mijicho

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2009
Posts
282
Reaction score
219
Habari wadau,
January ndio hiyo imefika, wale wenzangu na mie ambao ada ya watoto ni tatizo mje tupeane mbinu, maana sioni mwanga kabisa.
 
Habari wadau,
January ndio hiyo imefika,wale wenzangu na mie ambao ada ya watoto ni tatizo mje tupeane mbinu,maana sioni mwanga kabisa.

Kwanini mkuu, ulikuwa haujajipanga?am ulilewa sifa bar?
 
Hata kujipanga imeshindikana mkuu,namuachia Mungu sasa anionyeshe njia,kibinadamu nimechemka

Ila siku zote kuna njia, kwani kuna siku mtoto ameshindwa kwenda shule?stop stressing ataenda shule kwa namna yoyote na njaanuary itapita hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…