Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Wasalaam,
Eti jamani huko kwenu vipi January imesha tayari?sie huku ndio tunafika ukingoni. Huku kwetu kila mtu analalamikia huu mwezi,yaani full lawama, eti ni mwezi mgumu sana,watu
Ni mwendo wa ndondo mixer kabeji ukiuliza kuna nini kwani mbona ratiba za mezani hazieleweki majibu Ni yaleyale mwezi mgumu Sana,kila jirani namsikia akilia wimbo huo huo sasa nikawa najiulizia hivi.
1. Kwanini January ionekane ni mwezi mgumu kuliko yote kisa tunalipa Ada za watoto, mbona shule ya mwanangu Mimi nalipa Ada karibu mwaka mzima kwa installment,au Kuna shule zinalipa pesa yote January?
Kuna mtu atasema ni kwa sababu December tumetoka holiday, kwa hili sioni kama kuna ukweli maana familia chache ndio zina utaratibu wa kwenda vacation December, na familia nyingi hazina huu utaratibu Sasa tuseme pilau za Xmas ndio zimeleta majanga? sio kweli.
2. Kuna baadhi yetu watoto wetu wanasoma public school hawalipi Ada, lakini wimbo wetu ni uleule January ngumu sana hii sasa ni kuuonea huu mwezi.
3. Hivi Nyie wenzetu mliwahi ishi nchi mbali mbali na huko nako January ni Kama huku? Au sie Tanzania January yetu imekuwa Kali Sana?
Basi nisiwachoshe wananchi,Ila tukipata muda tutafakari na tujipange na na tuwe na utaratibu kujiandaa mapema kukabiliana na huu mwezi.
Tuwe na utamaduni wa kufanya budget za Ada mapemaaaa maana suala la Ada sio suala la ghafla, hii itatusaidia kupunguza hivi vilio vya January na tutauona huu mwezi kama miezi mingine, maana tumeupa Kiki Sana.
Tuwe na siku njema.