Mkuu Japan 🇯🇵 Ilipopigwa kuanzia mwaka 1945-52 ilikaliwa kimabavu na Marekani kisha ilisainishwa mkataba wa amani uliokuwa na vipengele vingi, vichache kati ya hivyo ni;Kuna faida Japan inayopata,ni woga wake au ni ukarimu tu wa watu wake.
.Hata kama kutakuwa na zaidi ya hayo na wewe umejitahidi kufafanua.Mkuu Japan 🇯🇵 Ilipopigwa kuanzia mwaka 1945-52 ilikaliwa kimabavu na Marekani kisha ilisainishwa mkataba wa amani uliokuwa na vipengele vingi, vichache kati ya hivyo ni;
Kulipa fidia (baadhi ya nchi zilisamehe), kuachia makoloni yake yote, kukubali makosa yote ya kivita iliyoshitakiwa kwayo na mahakama ya kijeshi, kuyapendelea mataifa ya ‘Allied Powers’ katika biashara n.k
Lakini Marekani ilibadili gia, ikaanza kukuza uchumi wa Japan 🇯🇵 lengo kuu ni kuzuia vimelea vya ukomunist kuota mizizi ndani ya Japan 🇯🇵.
Na baadae Marekani ikaunda mfumo kati ya nchi za New Zealand, Australia, Korea Kusini, Japan na Marekani wa kiulinzi na kibiashara wanaouita ‘San Francisco System’.
Leo hii Japan 🇯🇵 ni mshirika wa karibu sana wa Marekani kwa sababu hizo.
FAIDA AU UOGA?
Ni faida Mkuu, Japan 🇯🇵 inanufaika sana kiuchumi (ninaeleza hapa chini) na kiulinzi.
Lakini pia inapata hasara fulani fulani.
Sababu za kufufuka kwa Uchumi wa Japan 🇯🇵
Binafsi nitaziweka katika makundi mawili
1) Za ndani
2) Za nje
1) Za ndani - Kundi la kwanza nitaachana nalo ila kwa kifupi ni kuhusu sera za ndani kama vile kuhamasisha wanawake kufanya kazi.
2) Za nje - Hapa hoja kubwa na Vita vya Korea (1950-53).
Vita hivyo vilipoanza Marekani ilitumia ushawishi wake kuiingiza UN vitani kuilinda Korea Kusini, na kutokana na jiografia ya Korea ilivyo ambapo Magharibi ilipakana na China 🇨🇳 (Wakomunist), Kaskazini na Korea Kaskazini 🇰🇵 (Wakomunist) mashariki na Bahari ya Pasifiki na visiwa vya USSR (Wacomunist), Kusini na Bahari tena na Japan 🇯🇵 iliyodorora kiuchumi.
Kwa Marekani adui alikuwa ni Wakomunist hivyo kijeshi ilikua ni ‘logical’ wao kuiwezesha Japan Kiuchumi hasa kufufua viwanda ambavyo vilizalisha silaha na mahitaji ya kutosha kwaajili ya vikosi vya UN na Marekani huko Korea. Na kwa mpango huu Marekani 🇺🇸 Iliweza kufupisha ‘supply line’ hivyo kuiwezesha kupambana vizuri kwenye rasi ya Korea.
Mpango wa kufufua viwanda vya Japan 🇯🇵 uliisaidia sana Japan 🇯🇵 maana viwanda vyake vilizalisha bidhaa nyingi zikiwemo silaha na kupata soko la uhakika.
Kuanzia kipindi hiko wachumi wanaeleza 🇯🇵 Ilikuwa kwenye kipindi cha “Economic Boom” mpaka miaka ya 1970.
Nafikiri nimejibu swali lako.
Tena Marekani ndio alimsaidia China kuipiga Japan ambayo ilikuwa katili sana kwa ChinaMkuu Japan 🇯🇵 Ilipopigwa kuanzia mwaka 1945-52 ilikaliwa kimabavu na Marekani kisha ilisainishwa mkataba wa amani uliokuwa na vipengele vingi, vichache kati ya hivyo ni;
Kulipa fidia (baadhi ya nchi zilisamehe), kuachia makoloni yake yote, kukubali makosa yote ya kivita iliyoshitakiwa kwayo na mahakama ya kijeshi, kuyapendelea mataifa ya ‘Allied Powers’ katika biashara n.k
Lakini Marekani ilibadili gia, ikaanza kukuza uchumi wa Japan 🇯🇵 lengo kuu ni kuzuia vimelea vya ukomunist kuota mizizi ndani ya Japan 🇯🇵.
Na baadae Marekani ikaunda mfumo kati ya nchi za New Zealand, Australia, Korea Kusini, Japan na Marekani wa kiulinzi na kibiashara wanaouita ‘San Francisco System’.
Leo hii Japan 🇯🇵 ni mshirika wa karibu sana wa Marekani kwa sababu hizo.
FAIDA AU UOGA?
Ni faida Mkuu, Japan 🇯🇵 inanufaika sana kiuchumi (ninaeleza hapa chini) na kiulinzi.
Lakini pia inapata hasara fulani fulani.
Sababu za kufufuka kwa Uchumi wa Japan 🇯🇵
Binafsi nitaziweka katika makundi mawili
1) Za ndani
2) Za nje
1) Za ndani - Kundi la kwanza nitaachana nalo ila kwa kifupi ni kuhusu sera za ndani kama vile kuhamasisha wanawake kufanya kazi.
2) Za nje - Hapa hoja kubwa na Vita vya Korea (1950-53).
Vita hivyo vilipoanza Marekani ilitumia ushawishi wake kuiingiza UN vitani kuilinda Korea Kusini, na kutokana na jiografia ya Korea ilivyo ambapo Magharibi ilipakana na China 🇨🇳 (Wakomunist), Kaskazini na Korea Kaskazini 🇰🇵 (Wakomunist) mashariki na Bahari ya Pasifiki na visiwa vya USSR (Wacomunist), Kusini na Bahari tena na Japan 🇯🇵 iliyodorora kiuchumi.
Kwa Marekani adui alikuwa ni Wakomunist hivyo kijeshi ilikua ni ‘logical’ wao kuiwezesha Japan Kiuchumi hasa kufufua viwanda ambavyo vilizalisha silaha na mahitaji ya kutosha kwaajili ya vikosi vya UN na Marekani huko Korea. Na kwa mpango huu Marekani 🇺🇸 Iliweza kufupisha ‘supply line’ hivyo kuiwezesha kupambana vizuri kwenye rasi ya Korea.
Mpango wa kufufua viwanda vya Japan 🇯🇵 uliisaidia sana Japan 🇯🇵 maana viwanda vyake vilizalisha bidhaa nyingi zikiwemo silaha na kupata soko la uhakika.
Kuanzia kipindi hiko wachumi wanaeleza 🇯🇵 Ilikuwa kwenye kipindi cha “Economic Boom” mpaka miaka ya 1970.
Nafikiri nimejibu swali lako.
Shukrani Sana mkuuKatika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri.
Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki.
Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado zinaendelea. Jambo la kushangaza baada ya tukio hilo Japan imekuwa bega kwa bega na Marekani na hata kuunda ushirika dhidi ya nchi nyengine.
Kuna faida Japan inayopata,ni woga wake au ni ukarimu tu wa watu wake.
View attachment 2385825
Maadaui wa marekani ni ujerumani kama kina kinara......Uchumi wake upoje saivi?
(Linganisha na maadui wa marekani kipindi cha vita)
Unasahau alienza kumpiga america alikuwa ni nani? pearl harbour attack?Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri.
Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki.
Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado zinaendelea. Jambo la kushangaza baada ya tukio hilo Japan imekuwa bega kwa bega na Marekani na hata kuunda ushirika dhidi ya nchi nyengine.
Kuna faida Japan inayopata,ni woga wake au ni ukarimu tu wa watu wake.
View attachment 2385825
Ninamaanisha wale maadui kipindi cha vita ambao hawakureconcile na kutafuta urafiki na marekani...kina Urusi et al.Maadaui wa marekani ni ujerumani kama kina kinara......
Utafananisha Germany na Japan?
Atomic bomb ni nuclear bomb hiyo fanya tafiti uone .Rekebisha hapo Japan hakuwahi kupigwa na Nuclear na hakuna nchi iliyo wahi kupigwa na Nuclear.
Japan ilipigwa na Atomic bomb sasa hapo kasome mambo ya urutubisha wa madini ya Uranium.
Samahani lakini sina muda wa kutosha kukuelezea.
Shortly and clear baada ya maangamizi marekani alitoa fidia ya kusomesha technology ya kuunda magari kupewa soko kwenye taasisi za UN,na baadhi ya nchi ukipata msaada kama kuna fungi LA magari unaelekezwa Japan kwa lazima
Mfano Nyerere alipowasaidia wengine kupata Uhuru angewaingiza mikataba ya kununua hata vitumbua na maandazi kutoka Tanzania...lakini sasa nothing, nonsense.....
Historia inasema Japan ndie alie anzisha vita na ndie alie anza kumpiga mwenzake baada ya kuonywa sana Marekani akataka maliza vita ndio vile vi twin akadondoshewa. Ila baada ya Vita kila mtu akubali makosa na Marekani skatengeneza ushirika mtakatofu na Japan. Ushirika huwo umeifanya Japan kuwa na moja ya products huwezi zipata nchi yeyote na moja wapo ni mauzo ya magari ktk dunia. Nenda popote Japan ni number one china atasubiri sana mpaka miaka 200Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri.
Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki.
Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado zinaendelea. Jambo la kushangaza baada ya tukio hilo Japan imekuwa bega kwa bega na Marekani na hata kuunda ushirika dhidi ya nchi nyengine.
Kuna faida Japan inayopata,ni woga wake au ni ukarimu tu wa watu wake.
View attachment 2385825
hakunaga ujanja mbele ya shidaKatika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri.