Wapi alisema anastaafu?Ndo kustaafu soka huko!!!!
Iniesta angekuja Kumamoto angepigwa benchi mkuu.!!Nzuri sana hii!
Viungo wa Kumamoto fc wajipangeeeeee
hahaa na kweli mkuu! labd kidogo pale Takoma Inamoto angefikiriwa kidogo mkuuIniesta angekuja Kumamoto angepigwa benchi mkuu.!!
Hahahaha mkuu hiyo team iliwahi nikosesha mpunga mrefu kwenye jackpot (K.moto)[emoji38][emoji38][emoji38]Nzuri sana hii!
Viungo wa Kumamoto fc wajipangeeeeee
We una lako tu!! Hiyo timu unayoitaja iko Daraja la PiliNzuri sana hii!
Viungo wa Kumamoto fc wajipangeeeeee
Barca walimchoka.ni sawa na kumfukuza.Ndo kustaafu soka huko!!!!
hahaaa ilo jina tu mkuu hukuogopaaaaHahahaha mkuu hiyo team iliwahi nikosesha mpunga mrefu kwenye jackpot (K.moto)[emoji38][emoji38][emoji38]
ni kwel mkuuWe una lako tu!! Hiyo timu unayoitaja iko Daraja la Pili
Sema tu umependa jina la hiyo timu
Na wa Naniliu Baridi je?Nzuri sana hii!
Viungo wa Kumamoto fc wajipangeeeeee
Ameshindwa kusema hata Roasso...!!!!!We una lako tu!! Hiyo timu unayoitaja iko Daraja la Pili
Sema tu umependa jina la hiyo timu
hahahaaNa wa Naniliu Baridi je?