𝗝𝗔𝗣𝗔𝗑 π—œπ— π—˜π—₯𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 π—ͺπ—”π—§π—”π—™π—œπ—§π—œ π—žπ—¨π—¨π— π—•π—” π—•π—œπ—‘π—”π——π—”π— π—¨

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
𝗝𝗔𝗣𝗔𝗑 π—œπ— π—˜π—₯𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 π—ͺπ—”π—§π—”π—™π—œπ—§π—œ π—žπ—¨π—¨π— π—•π—” π—•π—œπ—‘π—”π——π—”π— π—¨



Dunia na maajabu yake!! πŸ‘‹
Nchini Japan mwaka 2019 waliweza kupitisha Utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu.



Mfumo huo ambao unakusanya viungo vya Wanyama na binadamu ili kuweza kukuza viungo vya binadamu ndani ya mnyama kwa njia ya kupandikiza. Watafiti hao wakiongozwa na Jamaa mmoja anaitwa Hiromitsu Nakauchi.



Utafiti huo unaruhusisha kuingiza seli za binadamu kwenye viinitete vya wanyama (animal embroys) kwa nguruwe na panya, ili kuweza kukuza vya binadamu.



Bado kuna wasiwasi wa kimaadili unaweza kujitokeza kuhusu kuchanganya Seli za kibinadamu na Wanyama haswa kwenye ukuaji wa Ubongo.



Sheria mpya imeruhusu utafiti huo kukuza hadi kuwa mnyama binadamu kamili, hivyo kuzua mijadiliano mikali kati ya Sayansi ya Matibabu na uumbaji wa Mungu.



Usisahau kutembelea page ya #bongotech255 utajifunza mengi zaidi ✍️



#bongotech255 #human #hybrid #humanhybrid #teknoloji #japan #scientist #animal #dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…