Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐๐ฎ๐ฝ๐ฎ๐ป ๐ถ๐บ๐ฒ๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ฝ๐น๐ฎ๐๐๐ถ๐ธ๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ผ ๐๐ฒ๐๐๐ธ๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐บ๐ฎ๐ท๐ถ
Timu ya Kimataifa inayohusika na masuala ya utafiti inayoongozwa na mjapani anaitwa Takuzo imeunda aina mpya ya plastiki ambayo ni ya kudumu lakini ukiweka kwenye maji ya bahari inayeyuka.
Plastiki hii ambayo inaweza kuoza na kutumika Tena imeundwa ili kupunguza uchafuzi wa mazingira kwenye maeneo ya fukwe za baharini.
Plastiki hii inaitwa plastiki supramolecular imeundwa kutokana na ionic mbili za monomers, Moja inahusika na masuala ya chakula inanguvu inayostamili joto na nyingine inatumika kuzuia bakteria Kwani imeundwa kwa nishati ya mafuta.
Plastiki hii ni nzuri sana unaweza kutumia kwenye kazi nyingi lakini ukiweka tu kwenye maji inayeyuka hii imeletwa kuweza kunufaisha mazingira na viwanda.