HERY HERNHO
Senior Member
- Mar 4, 2022
- 110
- 458
Wanajaribu kupunguza ukali wa maneno ndio maana wanajifanya hawajakiona vzr kilichorushwawao walijua ni nini hasa,Kiduku aache kurusha kombora arushe nini kingine!
Kiduku kurusha kombora ni starehe tu kama ilivyo kupiga nyeto. Anytime ukijiskia unakitupa tu π€£π€£π€£wao walijua ni nini hasa,Kiduku aache kurusha kombora arushe nini kingine!
Lazma uwe upande wao tu sababu kiwanda cha passo kikifumuliwa utatembea kwa miguu πππWapigane tu, though nipo upande wa Japan...