Japan miti haikatwi, husogezwa kupisha ujenzi

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


Ukitembelea Nchi ya Japan kama mimi nilivyofanya Kuna mambo Mengi ya kushangaza kule๐Ÿ˜ƒ!! Najua umeshtuka sio,



Nchi ya Japan miti haikatwi katwi hovyo hata kama Iko kwenye njia ya Eneo ambalo linapaswa barabara nyumba kujengwa, huweza kuhamishwa kwa uangalifu.



Badala ya kuharibu asili kwa ajili ya maendeleo, wataalamu hufunga mizizi na kuhamisha mti hadi mahali mpya ambapo unaweza kuendelea kukua.



Yani unakuta mtu unahamishwa kila kitu bila kupunguzwa chochote na kupelekwa sehemu nyingine ambayo utaendelea kukua bila shida yoyote.

Ebu tuambie utaratibu huu ungekuwepo Tanzania ingekuwaje ?

Tulinde miti โœ… #bongotech255
 
Dodoma na Singida ingekuwa sio jangwa Tena!
 
Bora uendelee tu huko mambele. Huku zaidi ya mabilioni yangetumika kuhamisha miti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ