Japan miti haikatwi, husogezwa kupisha ujenzi

Singapore nao huwa wanafanya hivi hata China nimeona hivi.

Mara nyingi huwa ni aina ya miti na historia yake
 
Wana akili, wanazitumia vizuri akili zao
Wao wanazalisha magari kama shamba la mtama, sisi tunashindwa hata kuzalisha mihogo!
 
Singapore nao huwa wanafanya hivi hata China nimeona hivi.

Mara nyingi huwa ni aina ya miti na historia yake
Wakati wa ujenzi wa tanzanite bridge, miti yote iliyokuwepo ocean road imekatwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…