Pole Kiongozi, hizo ni Pdf files unatakiwa kuwa na adobe reader, au kama una window 7 itafungua kawaida. sio cha kufanya:
1.open the link.
2.right click hiyo file unataka.
3.Click ''save link as''
4.choose where to save.
5.Save and then open link a pdf file.
Note:
Kwa msaada zaidi waone wazee wa Teknolojia ktk jukwaa lao , waeleze na uwape hizo link watakusaidia.
Thanks,
Kottler.