Japan yafanya jaribio la kwanza la kurusha gari inayopaa kwa dakika 4

Ila wewe jamaa
[emoji23][emoji23]
 
Sababu sisi hatutengenezi magari basi inamaanisha dunia nzima haitengenezi magari?

hio project ya 2023 ni ya kwao Skydrive na sio kampuni nyengine duniani inaweza ikawa 2020, 2100, 3000 ama mwaka 5000 kwa kampuni nyengine...
ebu nitajie kampuni gan imetengeneza hayo magari na pikipiki zinazo paa japan dah tuache bas kuchukua story za ananias ediga tunaleta hapa huwez tumia miaka 10 kutengeneza technologia ambayo tayari ina exist so far no practical car ambayo iko tayari commercially hata hao aeromobil bado hawajaingiza mtaani magari yao yako underdevelopment
 
Nani amesema Commercial? Hilo neno umetunga mwenyewe na umenilisha.

Nimetaja kampuni za juu hapo ambazo tayari zina working prototype na nimesema Dubai zinatumika ila sijasema popote pale kwamba zinapatikana Commercially.

Hii video police wa dubai aki crash hizo Hover Bike.
 
Na kampuni nimetaja zaidi ya 8 huko juu, Hyundai, Daimler, ezangh, uber, Airbus, Porsche, Toyota, Nec na nyengine kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…